Wildebeest Migration
Explore,Experience and Enjoy the beauty of diverse Tanzania National Parks
Explore,Experience and Enjoy the beauty of diverse Tanzania National Parks
Serikali imetoa kiasi cha Tsh. Billioni 3.9 kwa ajili ya kuimarisha miundombinu katika Hifadhi ya Taifa Ibanda - Kyerwa iliyoko mkoani, Kagera. ... Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa kiasi cha Tshs. Billioni 59 kwa ajili ya zoezi la ulipaji fidia kwa wakazi wa kata ya Nyatwali iliyopo Wilayani Bunda, Mkoani Mara. Zoezi hilo la ulipaji fidia limeongozwa na Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe.Dkt. Vicent Anney ambapo jumla ya wakazi 4111 wa kata ya Nyatwali leo wameanza kulipwa fidia ili kupisha eneo la ushoroba wa Hifadhi ya Taifa Serengeti kwa ajili ya Uhifadhi na uendelezaji wa eneo hilo ambalo ni mapitio ya Wanyama hasa Tembo huku ikitaarifiwa kuwa eneo hatarishi kwa Maisha ya wananchi hao. ... Read More
Tanzania National Parks (TANAPA) wishes to inform its clients and tourism stakeholders
that, effective July 1st, 2024, all transact...
Read More
In collaboration with Tanzania Aviation Operators Association,We are pleased to announce the aerodromes survey
Follow the link to...
Read More
Serengeti Visitors' Information Center Refurbishment Project
Kindly refer to the below public memo for more information
Read More
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) linatoa taarifa kwa wadau wa utalii na
umma kwa ujumla kwamba linafunga kipande cha n...
Read More