Serengeti Migration
The Great Iconic Serengeti Wildebeest Migration
The Great Iconic Serengeti Wildebeest Migration
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imetoa maelekezo kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kuendelea kusimamia miradi ya miundombinu ya utalii inayotekelezwa ndani Hifadhi ya Taifa Saadani ili kurahisisha watalii kufika kwa urahisi, kuchochea shughuli za kiutalii na kuongeza mapato ya Serikali. Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Japheti Hasunga (Mb), alitoa maelekezo hayo leo Machi 26, 2025, wakati wa ukaguzi wa miradi miwili inayotekelezwa ndani ya hifadhi hiyo ikiwemo uboreshaji wa barabara za ndani ya hifadhi na upanuzi wa uwanja wa ndege. ... Read More
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kasim Majaliwa (Mb) amelipongeza Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa mchango wake mkubwa katika maendeleo ya sekta ya utalii nchini. Mhe. Majaliwa ameyasema hayo Machi 25, 2025 katika hafla fupi ya uzinduzi wa lango jipya la utalii la Ndea lililopo ndani ya Hifadhi ya Taifa Mkomazi katika Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro. ... Read More
PUBLIC NOTICE
TEMPORARY CLOSURE OF SERONERA AIRSTRIP - HTSN
Dear Esteemed Customers,
Please be in...
Read More
Shirika la hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) linautaarifu Umma kuwa barabara kutoka Bagamoyo kupitia eneo la Makurunge hadi lango la Gam...
Read More
Tanzania National Parks (TANAPA) wishes to inform its clients and tourism stakeholders
that, effective July 1st, 2024, all transact...
Read More
In collaboration with Tanzania Aviation Operators Association,We are pleased to announce the aerodromes survey
Follow the link to...
Read More