LMNP1

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la hifadhi la Taifa(TANAPA) Allan kijazi akitoa neno la ukaribisho kwa makatibu wakuu kutoka wizara mbalimbali katika kikao cha mawasiliano ya taarifa ya tishio la kutoweka kwa ziwa manyara na maeneo ya shoroba

   LMNP2

Mwenyeji wa ziara ya Makatibu wakuu,Katibu mkuu wa wizara ya maliasili na utalii Meja jenerali gaudence milanzi akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao hicho

                LMNP3

   Kaimu meneja wa ikolojia katika Hifadhi ya taifa ya ziwa manyara ,Yustina kiwango akifanya wasilisho la taarifa kuhusu tishio la kutoweka kwa ziwa      manyara,maeneo ya shoroba na mitawanyiko ya wanyama Tarangire,-Manyara kwa makatibu wakuu hao