PHOTO1dg

Balozi wa Marekani nchini Inmi Patterson akiangalia vivutio vya utalii vilivyopo kwenye kalenda ya TANAPA ya mwaka 2018 aliyokabidhiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi alipomtembelea ofisni kwake mapema leo.

PHOTO2dg

Balozi wa Marekani nchi Inmi  Patterson katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi alipotembelea Makao Makuu ya TANAPA leo .